Amani Kiganjani
← Amani Kiganjani

Ahadi ya Amani

Chagua amani.
Amani huanza nami.

Ahadi ndogo ya kila siku inaweza kujenga jamii salama, yenye heshima na mshikamano.

AHADI YA AMANI2026

Ninaahidi kukataa vurugu na kuchagua njia za amani za kutatua tofauti. Nitasikiliza kwa heshima, nitazungumza kwa utulivu, na nitachangia kujenga jamii salama na yenye mshikamano.

Amani KiganjaniKwa jamii yetu

Je, utatoa ahadi?

Saini ahadi hii ya umma kwa ajili ya jamii yako.

1watu wamechagua amani